Text Results

Topics:kuzaliwa+kwake+kristo
In:texts

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 10 of 23Results Per Page: 102050
TextPage scans

Amezaliwa Yesu

Appears in 2 hymnals Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu Refrain First Line: Sasa tunafurahi, Mwokozi amekuja Lyrics: 1 Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu, Ndiye Mwana wa Mungu Aliyetabiriwa. Refrain: Susa tunafurahi, Mwokozi amekuja, Tutamwimbia pote wengine wamwamini. 2 Alixhuka kabisa ndiye Muumba wa vyote, Akaaye mbinguni amelala horini. [Refrain] 3 Je, wachunga, habari? Mbona m-nafurahi? Mnatafuta nini ham-jali Konod-o? [Refrain] 4 Neno latushangaza, twaona malaika, Wamasema kwa shangwe, Mwokozi kazaliwa. [Refrain] 5 Nasi tumefurahi kwa kuzuliwa kwake, Tutatangaza pote wengine wafurahi. [Refrain] Scripture: Luke 2:11
Page scans

Usiku walipoketi

Appears in 3 hymnals Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Usiku walipoketi wachunga wa kondoo Scripture: Luke 2:8-9

Sote Tufurahi

Author: Wilson Kyakajumba Appears in 3 hymnals Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Sote tufurahi, habari ni njema Refrain First Line: Sasa yametimia yaliyotabiriwa Scripture: Luke 2:10
Page scans

Usiku mkuu

Appears in 2 hymnals Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Usiku mkuu! Scripture: Luke 2:7

Hosana Aja Kwa Jina La Yesu

Author: M. G. Mutsoli Appears in 2 hymnals Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Wachungaji waliona malaika wa Bwana Refrain First Line: Hosana, Hosana, Hosana, aja kwa jina la Yesu Scripture: Luke 2:10-11

Njoni, Enui Wa Imani

Author: M. G. Mutsoli Appears in 2 hymnals Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Njoni na furaha enyi wa imani Refrain First Line: Njoni tumuabudu Mwokozi Scripture: Matthew 2:11
Page scans

Waimba, sikizeni

Appears in 2 hymnals Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Refrain First Line: Waimba, sikizeni Scripture: Luke 2:14
Page scans

Tangaza Milimani

Author: M. G. Mutsoli Appears in 2 hymnals Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Wachunga walipolinda kondoo usiku Scripture: Luke 2:17
Page scans

Alizaliwa Yesu

Author: David Makathimo Appears in 2 hymnals Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Alizaliwa Yesu alipokuja Refrain First Line: Mtoto alilazwa kule horini Scripture: Luke 2:11
Text

Yesu, Yesu, Amezaliwa

Author: Gerard Mpango Appears in 2 hymnals Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Yesu, Yesu Amezaliwa Lyrics: 1 Yesu, Yesu Amezaliwa, Yesu, Yesu Amezaliwa, Amezaliwa siku ya leo. Amezaliwa siku ya leo. 2 Huyo Yesu Ndiye Mwokozi, Huyo Yesu Ndiye Mwokozi, Ndiye Mwokozi wa wenye dhambi. Ndiye Mwokozi wa wenye dhambi. 3 Watu Wote Na tumwimbie, Watu Wote Na tumwimbie, Na tumwimbie siku ya leo. Na tumwimbie siku ya leo. 4 Duniani Leo amani, Duniani Leo amani, Leo amani kwa watu wake. Leo amani kwa watu wake. 5 Haleluya Tumtukuze, Haleluya Tumtukuze, Tumtukuze Mwana Daudi. Tumtukuze Mwana Daudi. Scripture: Luke 2:7

Pages


Export as CSV