Text Results

Topics:ushuhuda
In:texts

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 40 of 40Results Per Page: 102050
Page scans

Katika Neema Ya Yesu

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Scripture: Ephesians 1:7
Page scans

Napenda Kulitangaza

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Scripture: Psalm 89:1
Page scans

Nadumu Kwa Ahadi

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Nadumu kwa ahadi zake Mfalme Scripture: 2 Peter 1:4
Page scans

Nimepata Yesu, Mfalme Mwema

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Refrain First Line: Haleluya, Haleluya, Haleluya, Haleluya Scripture: Revelation 17:14
Page scans

Nikumbukapo msalaba

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Scripture: Mark 2:23
Page scans

Palikuwa Na Mtu Aitwa Sauli

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Scripture: Acts 9:3-4
Page scans

Ndiyo Dhamana, Yesu Wangu

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Refrain First Line: Haburi njema, raha yangu Scripture: Romans 8:37
Page scans

Amani moyoni mwangu, kwa Yesu

Appears in 2 hymnals Topics: Ushuhuda First Line: Tangu siku hiyo aliponijia Scripture: Romans 8:37
Page scans

Simoni, Unanipenda?

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Simoni, unanipenda Refrain First Line: Uende uchunge kondoo wangu Scripture: John 21:248
Page scans

Mungu Huyaona Yote

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Liko jicho huangalia Refrain First Line: Tujifiche wapi basi?
Page scans

Hapo Zamani Za Kale

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Hapo zamani za kale hawakumwamini Scripture: Genesis 6:13
Page scans

Nitamshukuru Mungu

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Nitamshukuru Mungu Refrain First Line: Kwali nitaimba nyimbo Scripture: Psalm 66:16
Page scans

Usiogope Maadui

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Refrain First Line: Yesu ni Mlinzi Scripture: 1 Peter 5:7
Page scans

Umechoka Hata Kuzimia

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Umechoka hata kuzimia? Refrain First Line: Mwambie Yesu, mwambie Yesu Scripture: Luke 11:9
Page scans

Kumtegemea Mwokozi

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Kumtegemea Mwokozi Refrain First Line: Yesu, Yesu, namwamini Scripture: Isaiah 12:2
Page scans

Ni Siku Kuu

Appears in 2 hymnals Topics: Ushuhuda First Line: Ni siku kuu, siku ile Refrain First Line: Siku kuu! siku kuu! Scripture: 1 Peter 1:8

Sijui Sababu Ya Neema

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Sijui sababu ya neema Scripture: 2 Timothy 1:12

Ushindi Wa Ajabu

Author: E. M. Bartlett; M. G. Mutsoli Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Nina hadithi njema Refrain First Line: Ni ushindi wa ajabu Scripture: 1 Corinthians 15:57

Mwanga Ni Mwema

Author: Orville Boyd Jenkins Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Mwanga ni mwema njiani Refrain First Line: Mwanga ya Yesu Scripture: 2 Corinthians 4:6

Musa Atumwa Kuokoa Waisraeli

Author: M. G. Mutsoli Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Musa alitumwa Refrain First Line: Awaokoe kwa tabu Scripture: Exodus 3:10

Gizani Na Dhambini

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Gizani na dhambini Refrain First Line: Nuru, nuru rohoni mwangu Scripture: 2 Corinthians 4:6

Najuna Nina yesu

Author: M. G. Mutsoli Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Najua nina Yesu Refrain First Line: Ni kweli nyumba yako ina Yesu? Scripture: John 5:261

Ndugu Yangu, Mauti Yaja

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Refrain First Line: (Safisha) Dhambi zako) Scripture: Matthew 3:2
TextPage scans

Nina Ujumbe Wa Bwana Aliyeniokoa

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Lyrics: 1 Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa; Nina ujube wa Bwana aa. Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa; Nina ujube wa Bwana aa. 2 Nina baraka za Bwana aliyeniokoa; Nina baraka za Bwana aa. Nina baraka za Bwana aliyeniokoa; Nina baraka za Bwana aa. 3 Nina ushindi wa Bwana aliyeniokoa; Nina ushindi wa Bwana aa. Nina ushindi wa Bwana aliyeniokoa; Nina ushindi wa Bwana aa. Scripture: Titus 2:11
TextPage scans

Ninakukimbilia Wewe Bwana

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Refrain First Line: Milele aa milele aa Lyrics: 1 Ninakukumbilia wewe Bwana nisiaibike milele aa. Ninakukumbilia wewe Bwana nisiaibike milele aa. Ninakukumbilia wewe Bwana nisiaibike milele aa. Ninakukumbilia wewe Bwana nisiaibike milele aa. Refrain: Milele aa milele aa milele aa milele aa. Ninakukimbilia wewe Bwana nisiabike milele aa. Milele aa milele aa milele aa milele aa. Ninakukimbilia wewe Bwana nisiabike milele aa. 2 Tunajileta mbele zako tusiaibike mileleaa. Ninakukimbilia wewe Bwana nisiabike milele aa. Tunajileta mbele zako tusiaibike mileleaa. Ninakukimbilia wewe Bwana nisiabike milele aa. [Refrain] Scripture: Psalm 62:8
TextPage scans

Mapambazuko Yanakuja

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Lyrics: 1 Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Scripture: John 6:265
Page scans

Ni Mwokozi Aliyenifia

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Ni Mwokozi aliyenifia Refrain First Line: Amini, Amini, nakuambia Scripture: John 3:15

Bwana Ndiye Mchunga Wangu

Author: David Makathimo Appears in 2 hymnals Topics: Ushuhuda Scripture: Psalm 23:1

Yu Bwana

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Mungu kajishusha akawa mtu Refrain First Line: Yu Bwana, Yu Bwana Scripture: Philippians 2:11
Page scans

Heri Ni Jina

Author: Orville Boyd Jenkins Appears in 2 hymnals Topics: Ushuhuda First Line: Ndimi elfu zishangilie Scripture: Philippians 2:9

Bwana Mungu Ni Mchunga Wangu

Author: Samweli Syengo; Anthony Nguma; M. G. Mutsoli Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Refrain First Line: Sita pungu, pungukiwa Scripture: Psalm 23:1
Page scans

Bwana Upepo Wavuma

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Bwana, upepo wavuma Refrain First Line: Papa na mawimbi vyasikiza, tulia, tulia Scripture: Mark 4:39
Page scans

Ni Ujumbe Wa Bwana

Appears in 2 hymnals Topics: Ushuhuda First Line: Ni ujumbe wa Bwana, Aleluya! Scripture: John 3:235
Page scans

Yesu Kwetu Ni Rafiki

Appears in 2 hymnals Topics: Ushuhuda Scripture: John 15:236
Page scans

Cha Kutumaini Sina

Appears in 4 hymnals Topics: Ushuhuda Refrain First Line: Kwake Yesu nasimama Scripture: Hebrews 6:19
Page scans

Nilitembea Mbali

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Nilitembea mbali katika dhambini Refrain First Line: Na upendo, na upendo Scripture: 1 John 4:10
TextPage scans

Vijana Wenti Wamemwasi Bwana

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana Lyrics: 1 Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana Angalia sana ndugu yangu Angalia sana Angalia ngdugu yangu Angalia sana Ulevi ndiyo Angalia sana Ya dunia yatapita Angalia sana 2 Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana Angalia ndugu yangu Angalia sana Maisha yako Angalia sana Kina mama Angalia sana Angalia baba yangu Angalia sana Ya dunia yatapita Angalia sana Scripture: Psalm 78:17
Page scans

Mapenzi Yako Yafanyike

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Mapenzi yako yafanyike Scripture: Psalm 86:11
Page scans

Amini Jina La Yesu

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda Scripture: Colossians 3:17
TextPage scans

Useme Nami Bwana

Appears in 1 hymnal Topics: Ushuhuda First Line: Useme nami Bwana Refrain First Line: Usame nami Bwana Lyrics: 1 Useme nami Bwana, uninong'oneze, Useme na upendo kwamba sitaachwa; Uufungue moyo ili nisikie, Unijaze na sifa nikushangilie Refrain: Useme nami Bwana, useme na pendo, Nitakuwa mshindi kwa uweza wako; Useme kila siku, nitakusikia, Useme nami Bwana, kwamba sitaachwa. 2 Useme nasi Bwana, kwako tuongozwe, Tujazwe na furaha na utufundishe; Tujitoe uzima kwa Ufalme wako, Mbinguni kwa milele, tukuone humo. {Refrain] 3 Kama ulivyosema na watu wa kale, Useme nasi sasa, Neno litendeke; Nikutukuze Bwana, siku zangu zote, Nikuheshimu pia, sasa na milele. [Refraom] Scripture: Psalm 85:8

Export as CSV