Search Results

Topics:maisha+ya+kikirsto+na+uhuduma

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.

Texts

text icon
Text authorities
TextPage scans

Sayuni, Sayuni, Sayuni

Appears in 1 hymnal Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Sayuni, Sayuni, Sayuni, Sayuni Lyrics: 1 Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. 2 Paradiso ya mbinguni, Paradiso ya mbinguni, Nina amani kwamba nitafika, Nina imani kwamba nitafika Sayuni Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. 3 Kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, Nina imani kwamba nitafika Nin imani kwamba nitafika kwa Baba. Kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, Nina imani kwamba nitafika Nin imani kwamba nitafika kwa Baba. Scripture: Revelation 22:4
Page scans

Mwokozi Anazidi

Appears in 1 hymnal Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Mwokozi anazidi kwangu kuwa Mwema mno Refrain First Line: Hatujajua bado yote ya Mwokozi Scripture: Hebrews 13:8
Page scans

Mbele Yake Mwokozi Wangu

Appears in 1 hymnal Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma Refrain First Line: Nisiname mbele ya Mungu Scripture: John 1:41-42

Instances

instance icon
Published text-tune combinations (hymns) from specific hymnals
TextPage scan

Mapambazuko Yanakuja

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #265 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma Lyrics: 1 Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Scripture: John 6:265 Languages: Swahili
TextPage scan

Kazi Yake Mungu Baba

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #163 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Kazi yake Mungu Baba Refrain First Line: Na Yeye Lyrics: 1 Kazi yake Mungu Baba imewekwa kwetu. Kazi yake Mungu Baba imewekwa kwetu. Tangu Mwanzo wa Mitume hadi hivi sasa. Tangu Mwanzo wa Mitume hadi hivi sasa. Refrain: Na Yeye Katuagiza Kasema Kwa Mamlaka Aliyo Pewa na Baba Nendeni Duniani pote. Hubirini kwa Jina la Baba, Mwana, Roho, watu waokoke. Hubirini kwa Jina la Baba, Mwana Roho watu waokoke. 2 Mataifa wana njaa ya Neno la Mungu. Mataifa wana njaa ya Neno la Mungu. Nayo kiu ya milele imewakalia. Nayo kiu ya milele imewakalia. [Refrain] 3 Hivyo ndugu tutimize wajibu wa Bwana. Hivyo ndugu tutimize wajibu wa Bwana. Ili siku ikifika tutoe hesabu. Ili siku ikifika tutoe hesabu.[Refrain] Scripture: Matthew 28:19-20 Languages: Swahili
Page scan

Chukua Gongo Na Mikuki

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #179 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Chukua gongo na mikuki (ya Bwana) Refrain First Line: Tazama yeye amekuja (Shetani) Scripture: Ephesians 6:11 Languages: Swahili

People

person icon
Authors, composers, editors, etc.

Jeanine Boyd

Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma Author of "Kila Siku, Kila Saa" in Nyimbo Za Imani Yetu

Wilson Chiko

Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma Translator of "Tukuza Jina Lake" in Nyimbo Za Imani Yetu

Anthony Nguma

Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma Translator of "Bwana Mungu Ni Mchunga Wangu" in Nyimbo Za Imani Yetu