Umati wa yesu

Umati wa Yesu, njooni kwa furaha

Author: John Francis Wade
Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Umati wa Yesu, njooni kwa furaha
msikie habari ya sikukuu!
Mwana wa Mungu azaliwa kwetu.
Njooni tumtukuze!
Njooni tumtukuze!
Njooni tumtukuze!
Yesu Kristo!

2 Mbinguni malaika wamwimbia wote
na wote wakaao kwake Mungu.
Mungu ni mkuu, aliyetupenda
Njooni tumtukuze!
Njooni tumtukuze!
Njooni tumtukuze!
Yesu Kristo!

3 Tumsifu Mwokozi Yesu siku zote,
aliyezaliwa kwetu leo.
Anatujia atufurahishe.
Njooni tumtukuze!
Njooni tumtukuze!
Njooni tumtukuze!
Yesu Kristo!

Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #18

Author: John Francis Wade

John Francis Wade (b. England, c. 1711; d. Douay, France, 1786) is now generally recognized as both author and composer of the hymn "Adeste fideles," originally written in Latin in four stanzas. The earliest manuscript signed by Wade is dated about 1743. By the early nineteenth century, however, four additional stanzas had been added by other writers. A Roman Catholic, Wade apparently moved to France because of discrimination against Roman Catholics in eighteenth-century England—especially so after the Jacobite Rebellion of 1745. He taught music at an English college in Douay and hand copied and sold chant music for use in the chapels of wealthy families. Wade's copied manuscripts were published as Cantus Diversi pro Dominicis et Festis p… Go to person page >

Text Information

First Line: Umati wa Yesu, njooni kwa furaha
Title: Umati wa yesu
Latin Title: Adeste fideles
Author: John Francis Wade
Language: Swahili
Notes: Sauti: Adeste Fideles, Grosse Missionsharfe, Erster Band #43, Reichs Lieder #62, Lutheran Book of Worship #42

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Mwimbieni Bwana #18

Suggestions or corrections? Contact us