248. Kwa kuwa hutaogopa

1 Kwa kuwa hutaogopa
ushuhuda wake,
Ishara ile msalaba
ndiyo alama kuu.

2 Kwa kuwa hutaogopa
kusimama nae,
Utukufu uupokee,
na kuaibishwa.

3 Kwa kuwa hutauacha
uimara wako,
Tetea jina la Yesu,
usije ogopa.

4 Kwa kuwa utapitia kwa
njia nyembamba,
Inua huo msalaba usiaibike.

4 Nasi twajiweka kwake,
kwa hiyo ishara,
Msalaba beba duniani,
Mbinguni ni Taji.

Text Information
First Line: Kwa kuwa hutaogopa
Title: Kwa kuwa hutaogopa
Language: Swahili
Publication Date: 1988
Topic: Kumtambikia Mungu: Sikukuu za Wakristo
Notes: Sauti: Hymnal Companion #455 Sacred Songs and Solos #541
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us