98. Yesu alitufia

1 Yesu alitufia,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

2 Sisi watu wabaya,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

3 Walimchezea Bwana,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

4 Wakamvua mavazi,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

5 Aliteswa Golgotha,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

6 Kasema imekwisha,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

7 Hakushindwa na kifo,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

8 Katoka kaburini,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

9 Kafufuka kwa wafu,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

10 Ndiye Mwokozi wetu,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

11 Ataishi milele,
Tumshukuru!
Tumshukuru Bwana wetu;
Tumshangilie Yesu
Mwokozi.

Text Information
First Line: Yesu alitufia
Title: Yesu alitufia
Language: Swahili
Publication Date: 1988
Topic: Kuteswa na kufa kwa Yesu
Notes: Asiki ya wimbo: Kinyakyusa
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us