Instance Results

Topics:kuzaliwa+kwake+kristo
In:instances

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 23 of 23Results Per Page: 102050
Page scan

Kawadia Siku Za Kuzaliwa

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #61 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:7 Languages: Swahili
TextPage scan

Yesu Kristo Azaliwa

Author: Elkana Mashimba Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #63 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Yesu Kristo, Azaliwa Lyrics: 1 Yesu Kristo, Azaliwa, Yesu Kristo, Azaliwa, Mjini Bethelehemu.Jina lake ni nani? Imanueli, Mungu pamoja nasi wanadamu. 2 Toka mbali Mashariki, Toka mbali Mashariki, Walikuja Mamajusi, Kuja kumsufudu, Mwana wa mungu. Maliaka mbinguni wamsifu. 3 Nyota ili Waongoza, Nyota ili Waongoza, Mamajusi waliiona, Mjini mwake Yuda, Nyumba ya Daudi, Masihi amekuja, Haleluya! 4 Leo wangi Wanimba, Leo wengi Wanaimba, Haleluya, haleluya! Imbeni na furaha. Na ku-sifu, Mwokozi amekuja kwetu sis. 5 Ni usiku Wa amani, Ni usiku Wa amani, Tumsifu Mungu wetu, Duniani amani, Ameleta, Utukufu kwa Mungu juu mbinguni. Scripture: Luke 2:11 Languages: Swahili
Page scan

Yesu Kristo Amezaliwa

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #73 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Yesu Kristo, Yesu Kristo amezaliwa Refrain First Line: Sifu jina Lake, Sifu jina Lake Scripture: Luke 2:7 Languages: Swahili
Page scan

Yesu Kristo aliacha

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #58 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Micah 5:2 Languages: Swahili
Text

Siku Gani Leo

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #56 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Siku gani leo? Refrain First Line: Duniani po pote; Kristo kazaliwa Lyrics: 1 Siku gani leo? Ni siku wa shangwe. Refrain: Duniani po pote; Kristo kazaliwa. Aleluya, Aleluya, Kristo kazaliwa. Aleluya, Aleluya, Kristo kazaliwa. 2 Ameleta nini? Kaleta wokovu. [Refrain] 3 Mwana gani huyu? Ni Mwana wa Mungu. [Refrain] 4 'We mtu pokea. Pokea wokovu. [Refrain] Scripture: Luke 2:11 Languages: Swahili

Itangaze Habari Njema

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #68 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Yesu Kristo alizaliwa Refrain First Line: Itangaze, Itangaze Scripture: Matthew 28:19 Languages: Swahili
TextPage scan

Wachunga Wakesha

Author: David Makathimo Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #69 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Wachunga wakesha Lyrics: 1 Wachunga wakesha Kulina Kondoo Karibu na mji wa Bethlhem ya Yda, Malaika wa Mungu Malaika wa Mungu akaleta habari; Wachunga wakesah Kulinda Kondoo Karibu na mji wa Bethlehem ya Yuda, Malaika wa Mungu Malaida wa Mungu akaleta habri. 2 Mtoto kazakliwa Kristo Mkombozi Ndiye Mwana wa Mungu amelazwa horini, Nendeni Bethlehem Nendeni Bethlehem huko mtamwona; Mtoto kazakliwa Kristo Mkombozi Ndiye Mwana wa Mungu amelazwa horini, Nendeni Bethlehem Nendeni Bethlehem huko mtamwona. 3 'Ni ajubu kuu" Twende tukamwone Kule tumeambiwa na malaika wa Mungu, Mwokozi tumwone Mwokozi tumwone "Ni ajabu kuu;" 'Ni ajubu kuu" Twende tukamwone Kule tumeambiwa na malaika wa Mungu, Mwokozi tumwone Mwokozi tumwone "Ni ajabu kuu." 4 Walipoingia Pale kwenye zizi Ndipo walipomwona amelazwa horini, Wakam'abudu Wakam'abudu wakipiga magoti; Walipoingia Pale kwenye zizi Ndipo walipomwona amelazwa horini, Wakam'abudu Wakam'abudu wakipiga magoti. 5 Walimwengu wate Njoni tumwabudu Kwa myoyo ya furaha tumwabudu Mwokozi, Njoni tumwabudu Njoni tumwabudu Yesu amezaliwa; Walimwengu wate Njoni tumwabudu Kwa myoyo ya furaha tumwabudu Mwokozi, Njoni tumwabudu Njoni tumwabudu Yesu amezaliwa. Scripture: Luke 2:8 Languages: Swahili
TextPage scan

Amezaliwa Yesu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #65 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu Refrain First Line: Sasa tunafurahi, Mwokozi amekuja Lyrics: 1 Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu, Ndiye Mwana wa Mungu Aliyetabiriwa. Refrain: Susa tunafurahi, Mwokozi amekuja, Tutamwimbia pote wengine wamwamini. 2 Alixhuka kabisa ndiye Muumba wa vyote, Akaaye mbinguni amelala horini. [Refrain] 3 Je, wachunga, habari? Mbona m-nafurahi? Mnatafuta nini ham-jali Konod-o? [Refrain] 4 Neno latushangaza, twaona malaika, Wamasema kwa shangwe, Mwokozi kazaliwa. [Refrain] 5 Nasi tumefurahi kwa kuzuliwa kwake, Tutatangaza pote wengine wafurahi. [Refrain] Scripture: Luke 2:11 Languages: Swahili
Page scan

Uniambie ya Yesu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #83 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 1:4 Languages: Swahili
Page scan

Usiku walipoketi

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #54 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Usiku walipoketi wachunga wa kondoo Scripture: Luke 2:8-9 Languages: Swahili

Sote Tufurahi

Author: Wilson Kyakajumba Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #55 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Sote tufurahi, habari ni njema Refrain First Line: Sasa yametimia yaliyotabiriwa Scripture: Luke 2:10 Languages: Swahili
Page scan

Usiku mkuu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #57 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Usiku mkuu! Scripture: Luke 2:7 Languages: Swahili

Hosana Aja Kwa Jina La Yesu

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #59 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Wachungaji waliona malaika wa Bwana Refrain First Line: Hosana, Hosana, Hosana, aja kwa jina la Yesu Scripture: Luke 2:10-11 Languages: Swahili

Njoni, Enui Wa Imani

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #60 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Njoni na furaha enyi wa imani Refrain First Line: Njoni tumuabudu Mwokozi Scripture: Matthew 2:11 Languages: Swahili
Page scan

Waimba, sikizeni

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #62 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Refrain First Line: Waimba, sikizeni Scripture: Luke 2:14 Languages: Swahili
Page scan

Tangaza Milimani

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #64 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Wachunga walipolinda kondoo usiku Scripture: Luke 2:17 Languages: Swahili
Page scan

Alizaliwa Yesu

Author: David Makathimo Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #66 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Alizaliwa Yesu alipokuja Refrain First Line: Mtoto alilazwa kule horini Scripture: Luke 2:11 Languages: Swahili
Text

Yesu, Yesu, Amezaliwa

Author: Gerard Mpango Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #67 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Yesu, Yesu Amezaliwa Lyrics: 1 Yesu, Yesu Amezaliwa, Yesu, Yesu Amezaliwa, Amezaliwa siku ya leo. Amezaliwa siku ya leo. 2 Huyo Yesu Ndiye Mwokozi, Huyo Yesu Ndiye Mwokozi, Ndiye Mwokozi wa wenye dhambi. Ndiye Mwokozi wa wenye dhambi. 3 Watu Wote Na tumwimbie, Watu Wote Na tumwimbie, Na tumwimbie siku ya leo. Na tumwimbie siku ya leo. 4 Duniani Leo amani, Duniani Leo amani, Leo amani kwa watu wake. Leo amani kwa watu wake. 5 Haleluya Tumtukuze, Haleluya Tumtukuze, Tumtukuze Mwana Daudi. Tumtukuze Mwana Daudi. Scripture: Luke 2:7 Languages: Swahili
Page scan

Wakristo Furahini

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #70 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Wakristo wenzetu furahini nyoto mkiimba Scripture: Psalm 33:1 Languages: Swahili
Page scan

Watoto Wadogo Njooni

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #71 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Watoto wadogo njoni mwone Scripture: Luke 18:16 Languages: Swahili
Page scan

Furaha Kwa Ulimwengu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #72 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Psalm 30:4 Languages: Swahili
Page scan

Amezaliwa

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #74 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Manabii walitabiri Refrain First Line: Amezaliwa Mwana Scripture: Luke 2:6 Languages: Swahili
Text

Utukufu Mbinguni Juu

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #302 (1994) Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo First Line: Utukufu mbinguni Refrain First Line: Sote tu Lyrics: 1 Utukufu mbinguni Juu Bwana katujia Twendeni tukamuone Mkombozi wetu Refrain: Sote tu, Piga yowe Kwa shangwe Amekuja mkombezi wetu, Aa! tumlaki. 2 Mjinin Bethlehemu Yesu kazaliwa Manbii walivyosema Ikatimia. [Refrain] 3 Apewe ni utukufu Bwana wa majeshi Tumwabudu ndiye Mungu Tumsujudie. [Refrain] 4 Yesu Bwana turehemu Sisi watu wako Tupe neema na pendo Tukushangilie. [Refrain] Scripture: Luke 2:14 Languages: Swahili

Export as CSV