Instance Results

Topics:safari+ya+mbinguni
In:instances

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 33 of 33Results Per Page: 102050
TextPage scan

Sayuni, Sayuni, Sayuni

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #297 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Sayuni, Sayuni, Sayuni, Sayuni Lyrics: 1 Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. 2 Paradiso ya mbinguni, Paradiso ya mbinguni, Nina amani kwamba nitafika, Nina imani kwamba nitafika Sayuni Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. 3 Kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, Nina imani kwamba nitafika Nin imani kwamba nitafika kwa Baba. Kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, Nina imani kwamba nitafika Nin imani kwamba nitafika kwa Baba. Scripture: Revelation 22:4 Languages: Swahili
Text

Utukufu Mbinguni Juu

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #302 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Utukufu mbinguni Refrain First Line: Sote tu Lyrics: 1 Utukufu mbinguni Juu Bwana katujia Twendeni tukamuone Mkombozi wetu Refrain: Sote tu, Piga yowe Kwa shangwe Amekuja mkombezi wetu, Aa! tumlaki. 2 Mjinin Bethlehemu Yesu kazaliwa Manbii walivyosema Ikatimia. [Refrain] 3 Apewe ni utukufu Bwana wa majeshi Tumwabudu ndiye Mungu Tumsujudie. [Refrain] 4 Yesu Bwana turehemu Sisi watu wako Tupe neema na pendo Tukushangilie. [Refrain] Scripture: Luke 2:14 Languages: Swahili
Page scan

Kwake Yesu Mbinguni

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #295 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Kwake Yesu mbinguni Refrain First Line: Tutakaa, milele Scripture: Colossians 1:5 Languages: Swahili
Page scan

Parapanda Inalia

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #303 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Parapanda inalia kule mbinguni Refrain First Line: Malaika wamwimbia Bwana Scripture: Psalm 150 Languages: Swahili
Page scan

Mninguni Nani?

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #304 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Mbinguni nani? Scripture: Colossians 1:5 Languages: Swahili
Page scan

Bwana Yesu Atakaporudi

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #103 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Bwana Yesu atakaporudi toka mbinguni Refrain First Line: Numi nitakuwa nao Scripture: 1 Thessalonians 4:16-17 Languages: Swahili
Page scan

Mpendao Bwana

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #291 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Twendeni mbinguni Scripture: Isaiah 35:10 Languages: Swahili
TextPage scan

Mapambazuko Yanakuja

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #265 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Lyrics: 1 Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Scripture: John 6:265 Languages: Swahili

Siku Ya Mbingu Kujawa Na Sifa

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #101 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Alinipenda, alinifia Scripture: 1 Timothy 3:16 Languages: Swahili

Siku Ya Kiyama

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #102 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Siku ile ya kiyama Scripture: Revelation 22:12 Languages: Swahili

Bwana Mungu, Nashangaa

Author: Stuart K. Hine, 1899-1989 Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #16 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Bwana Mungu, nashangaa kabisa Refrain First Line: Roho yangu na ikuimbie Scripture: Deuteronomy 33:36 Languages: Swahili
TextPage scan

Niongoze, Bwana Mungu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #18 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Niongoze, Bwana Mungu, ni msafiri chini Lyrics: 1 Niongoze, Bwana Mungu, ni msafiri chini; Ni mnyonge, nguvu sina; nishike mkononi; U Mkate wa mbinguni, nilishe siku zote, Nilishe siku zote. 2 Kijito cha maji mema kitokacho mwambani, Nguzo yako, moto wingu, yaongoza nyikani; Niokoe Mwenye nguvu; nguvu zangu na ngao, Nguvu zangu na ngao. 3 Nikikaribia kufa, sichi neno lo lote, Wewe kifo umeshinda, zinawe nguvu zote, Tutaimba sifa zako, kwako juuu milele. Kwako juu milele. Scripture: Isaiah 58:11 Languages: Swahili
Page scan

Namwandama Bwana

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #162 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Namwandama Bwana Refrain First Line: Amini utii Scripture: Isaiah 2:5 Languages: Swahili
Page scan

Mwokozi Niongozwe

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #164 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Yesu, Yesu, niongoze nisipotee Scripture: Psalm 27:11 Languages: Swahili
Page scan

Nitaonana Na Yesu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #298 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Nitaonana na Yesu Refrain First Line: Tutaonana na macho Scripture: 1 Corinthians 13:12 Languages: Swahili
Page scan

Atakuja Mawinguni

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #98 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Atakuja mawinguni Scripture: 1 Thessalonians 4:16 Languages: Swahili
Page scan

Sitaona Giza Yesu Ajapo

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #99 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Kunyakua watu wake Scripture: Revelation 22:5 Languages: Swahili
Page scan

Atakaporudi Tena Yesu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #100 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Yesu atakaporudi tena Refrain First Line: Je, ndugu yangu, uko tayari? Scripture: Revelation 22:12 Languages: Swahili
Page scan

Unifiche, Bwana Wangu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #220 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Unifiche, Mwokozi, Unifiche Scripture: Isaiah 49:2 Languages: Swahili
Page scan

Nijaze, Bwanangu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #222 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Nijaze, Bwanangu, na upendo Scripture: Philippians 1:9 Languages: Swahili
Page scan

Cha Kutumaini Sina

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #237 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Kwake Yesu nasimama Scripture: Hebrews 6:19 Languages: Swahili
Page scan

Usiogope Maadui

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #252 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Yesu ni Mlinzi Scripture: 1 Peter 5:7 Languages: Swahili

Kwa Mji Wa Mwangaza

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #289 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Kwa mji wa mwangaza Refrain First Line: Mungu atayafuta Scripture: Revelation 21:25 Languages: Swahili

Njia Nyembamba

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #290 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Njia nyembamba tutaifuata Refrain First Line: Tutakwenda Scripture: Matthew 17:13 Languages: Swahili
Page scan

Liko Lango Moja Wazi

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #292 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Lango ndiye Yesu Bwana Scripture: Revelation 21:25 Languages: Swahili
Page scan

Ni Mji Mzuri

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #293 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Ni mji mzuri Scripture: 1 Thessalonians 5:10 Languages: Swahili
Page scan

Mbele Ninaendelea

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #294 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Mbele ninaendelea Refrain First Line: Ee, Bwana uniinue Scripture: Philippians 3:14 Languages: Swahili
Page scan

Nyimbo Na Tuziimbe Tena

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #296 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Nyimbo na tuziimbe tena Refrain First Line: Twonane milele Scripture: John 14:296 Languages: Swahili
Page scan

Nimeifikia Nchi

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #299 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Nimeifikia nchi Refrain First Line: Nchi nzuri, nchi nzuri Scripture: John 14:299 Languages: Swahili
Page scan

Uzima Wako Mwenzangu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #300 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Umetupa wewe uzima wako Scripture: Galatians 2:20 Languages: Swahili

Ati Twonane Mtoni?

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #301 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Naam, twonane mtoni Scripture: Revelation 22:1 Languages: Swahili
Page scan

Kutakapopambazuka

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #305 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Majaribu ni mengi yanayotujilia Scripture: 1 Corinthians 13:12 Languages: Swahili
Page scan

Yesu Unihifadhi

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #306 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Yesu unihifadhi Scripture: Galatians 6:14 Languages: Swahili

Export as CSV