1 Mwana kondoo wa Mungu waiondoa dhambi; Tuhurumie.
2 Mwana kondoo wa Mungu waiondoa dhambi; Tuhurumie.
3 Mwana kondoo wa Mungu waiondoa dhambi; Ututulize. Amini.Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #76