Namtumaini Bwana tu

Namtumaini Bwana tu

Author: Christoph Christian Sturm
Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Namtumaini Bwana tu
ndiye mtuliza moyo.
Amkimbiliaye huyu,
hatindikiwi nuru.
Kwa neno la Bwana Mungu
roho itatulia,
moyo watengemana.

2 Kila anayekupenda
huona msaada wako,
akishikwa na mashaka,
ntamtuliza moyo.
Moyoni mwampenda Mungu
hamu itatulia,
uchungu hutoweka.

3 Roho yangu usiache
kumtumaini Bwana!
Waelekevu huona;
kwake vitu vyema.
Bwana ndiye mwenye nguvu
katika shida zote;
ni kinga hatarini.

4 Mkononi mwako naweka
maisha na uzima.
Nakuinulia macho
niwapo duniani.
Baada ya siku hizi
ukanipe kukaa
nbinguni kwako Baba.

Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #257

Author: Christoph Christian Sturm

Sturm, Christoph Christian, son of Johann Jakob Sturm, lawyer (Imperial notary) at Augsburg, was born at Augsburg, Jan. 25, 1740. He studied at tlie universities of Jena (M.A. 1761) and Halle. He was then appointed, in 1762, as one of the masters in the Paedagogium at Halle, and in 1765 became Conrector of the school at Sorau, in Brandenburg. In 1767 he returned to Halle as fourth pastor of the Market Church, and became third pastor in the same year. He left Halle in 1769, to become second pastor of the church of the Holy Spirit at Magdeburg, where he passed the happiest part of his professional life, and where he wrote most of his devotional works. Finally, in 1778, he was appointed chief pastor of St. Peter's Church at Hamburg. Here he at… Go to person page >

Text Information

First Line: Namtumaini Bwana tu
German Title: Der Herr ist meine Zuversicth
Author: Christoph Christian Sturm
Language: Swahili
Notes: Sauti: Der Herr ist meine Zuversicht, Posaunen Buch, Erster Band #66, Nyimbo za Kikristo #205

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Mwimbieni Bwana #257

Suggestions or corrections? Contact us