Instance Results

Topics:maisha+ya+kikirsto+na+uhuduma
In:instances

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 20 of 52Results Per Page: 102050
TextPage scan

Mapambazuko Yanakuja

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #265 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma Lyrics: 1 Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Scripture: John 6:265 Languages: Swahili
TextPage scan

Kazi Yake Mungu Baba

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #163 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Kazi yake Mungu Baba Refrain First Line: Na Yeye Lyrics: 1 Kazi yake Mungu Baba imewekwa kwetu. Kazi yake Mungu Baba imewekwa kwetu. Tangu Mwanzo wa Mitume hadi hivi sasa. Tangu Mwanzo wa Mitume hadi hivi sasa. Refrain: Na Yeye Katuagiza Kasema Kwa Mamlaka Aliyo Pewa na Baba Nendeni Duniani pote. Hubirini kwa Jina la Baba, Mwana, Roho, watu waokoke. Hubirini kwa Jina la Baba, Mwana Roho watu waokoke. 2 Mataifa wana njaa ya Neno la Mungu. Mataifa wana njaa ya Neno la Mungu. Nayo kiu ya milele imewakalia. Nayo kiu ya milele imewakalia. [Refrain] 3 Hivyo ndugu tutimize wajibu wa Bwana. Hivyo ndugu tutimize wajibu wa Bwana. Ili siku ikifika tutoe hesabu. Ili siku ikifika tutoe hesabu.[Refrain] Scripture: Matthew 28:19-20 Languages: Swahili
Page scan

Chukua Gongo Na Mikuki

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #179 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Chukua gongo na mikuki (ya Bwana) Refrain First Line: Tazama yeye amekuja (Shetani) Scripture: Ephesians 6:11 Languages: Swahili
Page scan

Panda Asubuhi

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #186 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Panda asubuhi mbegu ya fadhili Refrain First Line: Leta mavuno, leta mavuno Scripture: Mark 4:14 Languages: Swahili
Page scan

Namwandama Bwana

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #162 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Namwandama Bwana Refrain First Line: Amini utii Scripture: Isaiah 2:5 Languages: Swahili

Sijui Sababu Ya Neema

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #256 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Sijui sababu ya neema Scripture: 2 Timothy 1:12 Languages: Swahili
Page scan

Bwana Ni Nuru Na Wokovu Wangu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #41 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma Scripture: Psalm 27:1 Languages: Swahili
Page scan

Ukirushwa-Rushwa Na Dunia Hii

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #161 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma Refrain First Line: Zilizo baraka zihesabu tu Scripture: Psalm 107:31 Languages: Swahili
Page scan

Po Pote Na Yesu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #173 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Po pote na Yesu nina amani Refrain First Line: Po pote, po pote, sitaogopa Scripture: Nehemiah 9:12 Languages: Swahili
Page scan

Palikuwa Na Mtu Aitwa Sauli

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #245 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma Scripture: Acts 9:3-4 Languages: Swahili
TextPage scan

Sayuni, Sayuni, Sayuni

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #297 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Sayuni, Sayuni, Sayuni, Sayuni Lyrics: 1 Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. 2 Paradiso ya mbinguni, Paradiso ya mbinguni, Nina amani kwamba nitafika, Nina imani kwamba nitafika Sayuni Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. 3 Kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, Nina imani kwamba nitafika Nin imani kwamba nitafika kwa Baba. Kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, Nina imani kwamba nitafika Nin imani kwamba nitafika kwa Baba. Scripture: Revelation 22:4 Languages: Swahili
Page scan

Mudu mwingi nilipotea

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #137 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Muda mwingi nilipotea Refrain First Line: Rohema bure na neema Scripture: Luke 23:33 Languages: Swahili
Page scan

Mwokozi Anazidi

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #167 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Mwokozi anazidi kwangu kuwa Mwema mno Refrain First Line: Hatujajua bado yote ya Mwokozi Scripture: Hebrews 13:8 Languages: Swahili
Page scan

Bwana Upepo Wavuma

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #174 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Bwana, upepo wavuma Refrain First Line: Papa na mawimbi vyasikiza, tulia, tulia Scripture: Mark 4:39 Languages: Swahili
Page scan

Nataka Nimjue

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #181 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Nataka nimjue Yesu Refrain First Line: Zaidi, zaidi Scripture: Philippians 3:10 Languages: Swahili
Page scan

Mbele Yake Mwokozi Wangu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #185 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma Refrain First Line: Nisiname mbele ya Mungu Scripture: John 1:41-42 Languages: Swahili

Mwanga Ni Mwema

Author: Orville Boyd Jenkins Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #258 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Mwanga ni mwema njiani Refrain First Line: Mwanga ya Yesu Scripture: 2 Corinthians 4:6 Languages: Swahili
Page scan

Bwana Yesu Kwetu Ngome

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #29 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Bwana Yesu kwetu ngome nzuri Scripture: Psalm 46:1 Languages: Swahili
Page scan

Mungu Ulisema

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #33 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Mungu ulisema Scripture: Psalm 24:10 Languages: Swahili
TextPage scan

Tukuza Jina Lake

Author: Ben Nhlane; Wilson Chiko Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #42 (1994) Topics: Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma First Line: Tukuza Jina Lake Lyrics: 1 Tukuza Jina Lake, Tukuza Jina Lake, Mfalme. Tukuza Jina Lake, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme; Tukuza Jina Lake, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Tukuza Jina Lake, Mfalme, Mfalme Tukuza Jina Lake; Tukuza Jina Lake, Mfalme 2 Anawaita nyote Anawaita nyote, Mfalme Anawaita nyote Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme; Anawaita nyote, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Anawaita nyote Mfalme, Mfalme Anawaita nyote; Anawaita nyote, Mfalme. 3 Mgeukieni Bwana, Mgeukieni Bwana, Mfalme, Mgeukieni Bwana Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme; Mgeukieni Bwana, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mgeukieni Bwana Mfalme, Mfalme Mgeukieni Bwana; Mgeukieni Bwana, Mfalme. 4 Kwa kuwa anakuja, Kwa kuwa anakuja, Mfalme. Kwa kuwa anakuja, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme; Kwa kuwa anakuja, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Kwa kuwa anakuja Mfalme, Mfalme Kwa kuwa anakuja; Kwa kuwa anakuja, Mfalme. 5 Mtoleeni Bwana, Mtoleeni Bwana, Mfalme. Mtoleeni Bwana, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme; Mtoleeni Bwana, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mtoleeni Bwana Mfalme, Mfalme Mtoleeni Bwana; Mtoleeni Bwana, Mfalme. 6 Njooni Kwake Yesu, Njooni Kwake Yesu, Mfalme. Njooni Kwake Yesu, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Mfalme; Njooni Kwake Yesu, Mfalme, Mfalme, Mfalme, Njooni Kwake Yesu Mfalme, Mfalme Njooni Kwake Yesu; Njooni Kwake Yesu, Mfalme. Scripture: 1 Timothy 6:15-16 Languages: Swahili

Pages


Export as CSV