Author: Mch. Sila Msangi Hymnal: Mwimbieni Bwana #321 (1988) Topics: Kujuta na kutegemea Kutegemea First Line: Mjini kwake Babngu Refrain First Line: Kuna raha Kuna raha Lyrics: 1 Mjini kwake Babangu
Ndipo pa raha
Tutafika juu kwake
Tukae naye.
Kuna raha Kuna raha,
Kuna raha Kuna raha,
Lini tutafika kwake
Tuungane na malaika
Mjini kwake, mjini kwake.
2 Pale kwake Babngu
Ndipo pazuri
Siku ile kuu mno
Ya kupaona.
Kuna raha Kuna raha,
Kuna raha Kuna raha,
Mji ung'arao mno
Ni makao ya maliaka
Mjini kwake, mjini kwa,e.
3 Nikipanda mlimani
Na kuyaona
Yote ya utukufu
Aliyofanya.
Kuna raha Kuna raha,
Kuna raha Kuna raha,
Yote yanisimulia
Ufahari wake Baba
Mjini kwake, mjini kwake.
4 Njoo mwenzangu tazama
Yote ya Mungu
Yote ameyafanya
Kwa ajili yetu
Kuna raha Kuna raha,
Kuna raha Kuna raha,
Tuinue macho yetu
Tumtazame mwumba wetu
Mjini kwake, mjini kwake.
Languages: Swahili
Mjini kwake Babangu